Muonekano
wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano uliojengwa na CCM mjini Dodoma
ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika kabla ya kuanza kutumika.Ukumbi huu upo karibu na jengo la Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma - UDOM.
| Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na CCM. |
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na CCM. Kulia ni makamu mwenyekiti wa
CCM Bara Philip Mangula.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi
wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma unaojengwa na CCM,
leo.Ukumbi huu upo karibu na Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha
Dodoma.
Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma. Picha na Freddy Maro.
RSS Feed
Twitter
11:29 PM
Unknown
.jpg)
.jpg)



Steven Gerrard aliingia Uwanjani na Watoto wake wakati wa Mechi ya kumuaga rasmi leo Anfield.
Wachezaji wenzake wa Liverpool wakimpa heshima Steven Gerrard
Picha ya Pamoja
Steven G. akiondoka Uwanjani na wanae tayari mchezo kuanza Anfield
Heshima kwa mkongwe Steven Gerrard
Taswira
Bye bye Anfield!!
Kila shabiki leo alikuwa na hamu kubwa ya kumuaga Steven Gerrard.
Shujaa Steven Gerrard


Taswiara ya Uwanjani Anfield leo wakati wa kumuaga Kepteni Steven Gerrard.
