Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo, ambao ni waandaaji wa tamasha hilo. Kulia ni Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Microphas Insurance Agency Ltd, Mansoor Kipolelo wa dhamini wa tamasha hilo.
Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kutoka kulia ni Msanii Said Christopher ‘Mucky), Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Microphas Insurance Agency Ltd, Mansoor Kipolelo wa dhamini wa tamasha hilo,Msanii Juma Nature, Msanii, Semani Jabiri ‘Msagasumu’ na Msanii Snura Mushi.
Wasanii watakaotoa burudani la nguvu siku hiyo ya tamasha. Kutoka kulia, Fredy Felix ‘Fredwayne’ Juma Nature, Snura Mushia, na Said Christopher ‘Mucky)
Ofisa Habari wa Kituo cha Redio cha EFM, Lydia Moyo (kushoto), akiperuzi simu yake katika mkutano huo.
Wanahabari wakichukua tukio hilo.
RSS Feed
Twitter
1:55 AM
Unknown
Mafanikio
pekee ya Real Msimu huu ni toka kwa Mchezaji wao Bora Duniani,
Cristiano Ronaldo, ya kutwaa Pichichi, Tuzo ya Mfungaji Bora La Liga
huku Ubingwa wa Ligi hiyo ukienda kwa Mahasimu wao Barcelona.
Carlo Ancelotti ametimuliwa na Klabu ya Real Madrid baada ya kutoka kapa. 
Rais wa Real Madrid Florentino Perez ameweka wazi kumtimua kocha wake Ancelotti leo hii Jumatatu



Mashabiki wa Boro
Timu zikiingia Uwanjani Wembley
Kikosi cha Norwich
Kipute kimeanza ...mchezaji wa Boro chini
Jerome ndie aliyeanza kufunga bao la kwanza
Jerome akishangilia bao lake la kwanza
Meneja wa Noewich Alex Nail akishangilia nae
Nathan Redmond alipachika bao la pili
Wafungaji wakakutana live Nathan na Jerome
Wachezaji wa Boro hoi!!
Mashabiki nao wakazimika!!
Taswira Meneja wakiwajibika Uwanjani!
Jerome alipumzishwa!


Didier Drogba na Fabrigas wakipeta na Mwali wao mpya
Diego Costa na Fabrigas
Drogba na raha zake na Mwali mkononi!
Drogba akiwaonesha Mashabiki Kombe lao wakati wa matembezi hayo leo hii jumatatu!
Taswira kamili
Kwenye mitaa ya London
Kepteni john terry
Meneja Jose nae aliwapungia mkono Mashabiki
kwenye Mitaa



