Kipindi cha kwanza kilimalizika Napoli wakiongoza kwa bao 2-0 dhidi ya VfL Wolfsburg. Kipindi cha pili Napoli walifanikiwa kupata bao la tatu kupitia kwa Marek Hamsik dakika ya 64 na kufanya 3-0 Wolfsburg ambao walikuwa kwao kwenye mchezo huu. Bao la nne lilifungwa kwa kichwa na Manolo Gabbiadini dakika ya 76 kwa kuunganisha Krosi ya Lorenzo. Bao la Wolfsburg lilifungwa na Nicklas Bendtner dakika ya 80 na kufanya matokeo kuwa 4-1.
MATOKEO YA MECHI ZA LEO
| Sevilla | 2 vs. 1 | Zenit St Petersburg |
| Dnipro Dnipropetrovsk | 0 vs.0 | Club Brugge |
| Dynamo Kiev | 1 vs.1 | Fiorentina |
| Vfl Wolfsburg 1 | vs. 4 | Napoli |
RSS Feed
Twitter
9:41 PM
Unknown

Yanga imetua hatua hii baada ya kuzibwaga BDF XI ya Botswana na FC Platinum ya Zimbabwe katika Raundi za awali.
Yanga inatarajiwa kuwatumia tena Wachezaji wao muhimu ambao walikuwa Majeruhi ambao ni Salum Telela na Coutinho. 


