Real
leo hali siyo shwari!!! sare yawaangusha! Walitoka nyuma ya bao 2-0 na
kusawazisha kuwa 2-2 mpaka dakika 90 zinamalizika, Ronaldo pia akikosa
penati katika mtanange huo!
Fowadi wa Valencia CF Paco Alcacer akishangilia bao lake la dakika ya 19

Wachezaji wa Valencia wakipongezana baada ya Javi Fuego kumfunga kipa wa Real Iker Casillas kwa mpira wa adhabu

Valencia walitangulia kipindi cha kwanza kwa kufunga bao 2-0

Ronaldo leo hoi!! Bernabeu
Paco Alcacer dakika ya 19 kipindi cha kwanza anawaandikia bao la kwanza Valencia kwa kufanya 1-0 dhidi ya Real Madrid.Pepe alianza kurudisha bao kipindi cha pili dakika ya 56 na Isco dakika ya 84 kusawazisha bao na kufanya 2-2 na mtanange kumalizika.
Sare hii inawafanya Real kugawana pointi moja moja na Valencia huku Barcelona wakiwazidi pointi 4 Kileleni Real ambao wako nafasi ya pili. Barca wako Kileleni wakiwa na pointi zao 90 na Real wametimiza pointi 86. Nafasi ya tatu inashikiliwa na Atletico de Madrid wenye pointi 76.
Valencia CF pamoja na kuwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya Real na kulazimishwa sare wao wapo nafasi ya 4 na pointi zao 73.
RSS Feed
Twitter
11:32 PM
Unknown
Chupchupuu!!!
Ashley Young akishangilia!
Jason Puncheon dakika ya 57 kipindi cha pili alisawazisha bao na kufanya 1-1.
Jason Puncheon akishangilia bao lake
1-1
Jason Puncheon baada ya kuweka sare
Juan Mata akichonga penati.
Mpaka nyavuni!
Mata akishangilia
Pongezi kwa Mata
Luke Shaw kaumia tena na Hapa ni Dokta akimcheki kwa karibu sana
Luke Shaw kaumia tena na kulazimika kuondolewa Uwanjani
Meneja wa Newcastle United Alan Pardew alipata muda akateta na wachezaji wake na kuwapa mbinu
Luke Shaw akiondolewa Uwanjani huko Ugenini Selhurst Park
Rooney nae yale yale!
Rooney alipumzishwa!
Wachezaji wa Crystal Palace wakimsimamia Mwamuzi Michael Olivier baada ya kutoa penati kwa United
Van Gaal akisalimiana na Meneja mwenzie Alan Pardew