Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa
Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa
Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw.
Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo
iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 1.6 kati ya shilingi bilioni 2
zinazohitajika zilipatikana. Michango hiyo ni ya kufanikisha upanuzi wa
chuo hicho katika awamu ya pili.
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa majimbo ya KKKT, Wachungaji,
Wainjilisti na wafanyakazi wa Parish na viongozi wengine
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa majimbo ya KKKT, Wachungaji,
Wainjilisti na wafanyakazi wa Parish na viongozi wengine
Rais Kikwete akipongezwa kwa kufanikisha harambee hiyo
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya harambee hiyo
iliyoongozwa na mwenyekiti wake Mzee Arnold Kilewo ( wa kwanza kulia
mbele) baada ya harambee hiyo iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni
1.6 kati ya shilingi bilioni 2 zinazohitajika zilipatikana. Michango
hiyo ni ya kufanikisha upanuzi wa chuo hicho katika awamu ya pili.
RSS Feed
Twitter
8:05 AM
Unknown






















Akiongea
hii Leo na Wanahabari kwa ajili ya Mechi yao ya Jumapili ya Ligi Kuu
England Uwanjani Old Trafford na Tottenham Hotspur, Van Gaal ameeleza:
"Tunatafuta suluhisho. Unaweza kuwa mzuri Nchi nyingine lakini ulipo
ikawa tofauti! Hii si mara ya kwanza na ya mwisho!"
Meneja
Van Gaal ameeleza hakumpeleka Falcao huko kumdhalilisha ila kumjenga
zaidi baada ya Msimu uliopita kuumia vibaya Goti lake.
Falcao
yuko kwa Mkopo Man United hadi mwishoni mwa Msimu kutoka AS Monaco ya
France kwa makubaliano kuwa Uhamisho huo unaweza kuwa wa kudumu kwa Dau
la Pauni Milioni 43.2.




