Rais Jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Tanzania 11
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends.
Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa.
Hekaheka langoni mwa Tanzania.
Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza.
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na kocha Msaidizi wa Tanzania 11, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' mara baada ya mchezo.
Kiungo wa timu ya Real Madrid Legends, Christian Karembeu akichukua picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete.
Nzuri sana........
Mfunga wa mabao ya timu ya Real Madrid, Reuben akipokea mpira baada ya kupiga 'hat trick' katika mchezo huo.

Beki wa timu ya Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa akichuana na mshambuliaji wa Real Madriad Legends, Luis Figo wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania 11 wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akimiliki mpira mbele ya beki wa Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
RSS Feed
Twitter
4:13 AM
Unknown
Wachezaji wa Everton wakipongezana baada ya kupata bao zao mbili za kipindi cha kwanza.


Taswira kamili Uwanja wa taifa Jijini Dar es selaam.
Mdau
wa bukobasports.com Willy Kiroyera (kulia, akiwa ametokelea akiwa na
marafiki zake wakiwa tayari kushuhudia kipute cha Tanzania Eleven na
Magwiji wa Real Madrid leo
Kipute kikiendelea Uwanjani kipindi cha kwanza ambapo Tanzania walikuwa sare ya 1-1
Nyomi...Mashabiki
walijitokeza kwa wingi kushuhudia kipute hicho kilichomalizika kwa bao
3-1 Tanzania wakichapwa na Mchezaji mmoja wa Real aliyetupia hat-trick.
Moja likifungwa kwa mkwaju wa penati.