Bao
la pili kwa Argentina lilifungwa na Staa Lionel Messi alipowachambua
mabeki na kuachia shuti kali kipindi cha pili dakika ya 65, Akipewa pasi
safi na Gonzalo HiguaÃn. Mchezaji aliyeingia kipindi cha pili akitokea benchi Vedad Ibisevic aliwafunga Argentina bao la kizembe katika dakika ya 84 baada ya wachezaji wa Argentina kupeana pasi hewa hisiyokuwa na macho na hatimaye Vedad Ibisevic kuwachoma bao akipewa pasi na Senad Lulic na kufanya 2-1.
Zawadi yeu hii...1-0!!Aguero na mwenzake wakishangilia bao mapeeema huku wachezaji wa Bosnia-Herzegovina (kushoto) wakijiuliza!
Lionel Messi akipongezwa baada ya kupiga frii kiki iliyosababisha mpaka Kolasinac kujifunga bao langoni mwao.
Mashabiki wa timu ya Argentina wakiipa sapoti timu yao usiku huu!! 
VIKOSI:
Argentina: Romero, Zabaleta, Campagnaro, Federico Fernandez, Garay, Rojo, Maxi Rodriguez, Mascherano, Di Maria, Messi, Aguero.
Subs: Orion, Gago, Biglia, Perez, Higuain, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez, Lavezzi, Basanta, Andujar.
Bosnia-Herzegovina: Begovic, Mujdza, Bicakcic, Spahic, Kolasinac, Besic, Hajrovic, Pjanic, Misimovic, Lulic, Dzeko.
Subs: Fejzic, Vrsajevic, Vranjes, Ibisevic, Susic, Sunjic, Ibricic, Medunjanin, Visca, Hadzic, Salihovic, Avdukic.
Referee: Joel Aguilar (Slovakia)
RSS Feed
Twitter
1:40 AM
Unknown