Profesa
Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi
(katikati) Ambaye ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika Tamasha Hilo Kubwa la
"SOTE NI NDUGU" lililoandaliwa na Kundi la Kapotive Star Singers-Bukoba
leo Katika Ukumbi wa Lina's Club uliopo Bukoba mjini.
Tamasha hilo pia limeudhuriwa na Wageni wa Kikundi hicho Cha kapotive kutoka Austria.
Kwaya rafiki yenye waimbaji 29 kutoka ulaya inayoitwa Vokalensemble Vocapella Innsbruck (Innsbruck – Austria), lakini pia na kwaya za hapa Jimboni Bukoba zilishiriki Tamasha hilo.

Ilikuwa fursa ya kipekee kufanya tathmini ya yale ambayo wameyafanikisha kulingana na malengo yeo ya msingi, na pia yale ya miaka mitano, pia changamoto ambazo wamepitia na pia kuangalia mipango yao ya muda mfupi, na ile ya muda mrefu.
Album yetu, Vol: 8, MWILI MMOJA ilizinduliwa pia ikiwa na nyimbo za Ndoa tu.
Mwimbaji Teddy akikabidhi risala kwa Mgeni rasmi Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi.
Mkuu
wa wilaya bukoba Bi,Zipora Pangani(kulia) ambaye pia alimwakilisha Mkuu
wa mkoa wa KAGERA, Kanali mstaafu FABIAN MASSAWE katika Tamasha hilo
lililofana leo katika Ukumbi wa Lina's Club Bukoba.
Dada kutoka kundi la Vokalensemble Vocapella Innsbruck (Innsbruck – Austria) akipozi na Mtoto
Dada Geogia(kulia) akiburudika na rafiki yake kwenye Tamasha hilo
Kapotive Star Singers wanapendwa kila lika!
Taswira...kwa
kuwa kiingilio kilikuwa tofauti tofauti Watu wengi wemejitokeza kwa
Wingi katika Tamasha hilo lililofamyika leo kwenye Ukumbi wa Lina's
Club.
Mr. Andrew Kagya na Willy Kiroyera wakifurahia Tamasha la "Sote ni Ndugu"
Wakiteta jambo!
Nyimbo
Mpyaa zinazopatika kwenye Album toleo jipya Vol.8 ziliimbwa, Album hiyo
ikibeba jina la "Mwili Mmoja" na Hapa Baadhi ya Waimbaji wa Kapotive
waliingia Ukumbini wakiwa Wamevalia Mavazi ya Harusi kwendana na Nyimbo
hizo zinazopatikana katika Album hiyo iliyozinduliwa leo na kupendwa na
wengi.
Masister hawakuwa nyuma walijumuika katika Tamasha hilo
Taswira
Waimbaji kutoka Nje ya Nchi, Wakitokea Australia - Kwaya rafiki yenye
waimbaji 29 kutoka ulaya inayoitwa Vokalensemble Vocapella Innsbruck
(Innsbruck – Austria)
Chini ya Udhamini mkubwa Instant Coffee-Tanica- Bukoba Tanzania.
Mbali na faida kemkem tunazozijua zinazopatikana kwenye kahawa, utafiti mpya umesema kwamba kunywa kikombe kimoja tu cha kahawa kwa siku kunapunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo.
Kilimanjaro Cafe
Tanica Cafe' kwenye ujazo tofauti tofauti katika aina mbili Tanica Cafe' na Kilimanjaro Cafe'
Kundi la Waimbaji 29 kutoka Ulaya Vokalensemble Vocapella Innsbruck likitumbuiza
Vokalensemble Vocapella Innsbruck wakiendelea kuburudisha
Burudani ikakolea...
Mratibu
wa Kundi la Kapotive Star Singers bw. Andrew Kagya (kushoto) akipeana
mkono na Bw. Willy Rutta wa Kampuni ya Utalii Nchini ya Kiroyera Tours)
leo kwenye Tamasha la Sote ni Ndugu" wakifurahia Miaka minne ya kuwepo
kwa kundhi hilo la Kapotive Star Singers Bukoba.
Teddy Rweyendela na Claudius Mutabuzi wakifanya yao mbele ya Mashabiki.








Teddy Rweyendela(kuli) Pamoja na Claudius Mutabuzi wakiimba moja ya wimbo kwenye Album mpya ya Vol:8"MWILI MMOJA"




















Taswira ya Keki yenyewe ya Miaka minne ya tangu kuundwa kwa Kundi hilo ikiwa katika mfano wa Ngoma, Drum"
Keki tayari kwa kuliwa..














Waimbaji
wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bukoba wakiwajibika jukwaani leo
wakati wa Tamasha la Sote ni Ndugu leo kwenye ukumbi wa Lina's Club
uliopo Bukoba Mjini.

























Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ebby Sarah nae alikuwepo na hapa alikuwa akicheza
Mwimbaji Ebby Sarah (kushoto) akiburudika kisawasawa




















Mwenye macho aambiwi tazama!!
RSS Feed
Twitter
6:09 AM
Unknown