3-0!!
Wachezaji wa Real wakimpongeza mwenzao Karim Benzema baada ya kufunga bao la tatu kipindi cha kwanza cha dakika 45.
Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la kwanza...Bao la tatu lilifungwa na Karim Benzema tena baada ya kupigwa kona na Pepe kujitwisha kichwa kwenye eneo hatari ndani ya box na hatimae Karim Benzema kuupata na kuusindikiza langoni mwa Liverpool na kumfunga kipa Mignolet na kufanya 3-0 katika dakika ya 41.
Karim Benzema akiruka juu na kufunga bao la pili.
Cristiano Ronaldo akikatiza mbele..
Cristiano
Ronaldo aliipachikia bao la kwanza kipindi cha kkwanza dakika ya 23
baada ya kutengeneza pasi na kurudishiwa na James RodrÃguez na kufunga
bao hilo na kufanya 1-0 dhidi ya Wenyeji Liverpool. Bao la pili
lilifungwa na Karim Benzema dakika ya 30 kwa kichwa baada ya kupokea
Krosi safi kutoka kwa Toni Kroos.
RSS Feed
Twitter
11:40 PM
Unknown




Bayern Munich wakipongezana..
Kipindi cha kwanza Bayern Munich wanaongoza bao 5-0 dhidi ya As Roma

Wachezaji wa Chelsea wakijifua tayari kwa kuumana uso kwa uso kwa uwakaribisha NK Maribor
Seydou
Doumbia akishangilia na kupongezwa baada ya kutema cheche zake huku
akijisifu kwa kutokea benchi na kuwaongoza wenzake kusawazisha bao dhidi
ya Man City huko CSKA.
Sergio Aguero akipachika bao la kwanza

Wachezaji wa City wakipasha