Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ambaye alistaafu kuifundisha Man United baada ya kuitumikia kwa miaka 27. Ferguson alistaafu 2013 kukinoa kikosi hicho na kuendelea kusimamia miradi yake binafsi, Ferguson ameeleza sababu za Paul Pogba kuondoka Man United na kutokubali kusaini mkataba mpya.
Ferguson aliwahi kulaumiwa kwa kushindwa kumshawishi Paul Pogba abaki Man United na wengi walifikiri hakuwa katika mipango yake hivyo ndio maana alimuacha kama mchezaji huru ajiunge na Juventus 2012. Stori hii inakuja baada ya Ferguson kueleza kwa kina nini kilipelekea hadi Paul Pogba akaondoka klabu hiyo.
Stori ni kuwa Ferguson licha ya kutozijibu lawama zake za mwanzo kuhusu Pogba wakati ule, katika kitabu chake ameeleza kuwa moja kati ya watu waliyosababisha Paul Pogba aondoke Man United ni Mino Raiola ambaye ni wakala wa Paul Pogba.
RSS Feed
Twitter
10:25 PM
Unknown


Sergio Agüero dakika ya 9 aliifungia bao la kuongoza City kwa mkwaju wa penati dhidi ya Timu ya Sunderland.
5-1


Akitupia nyavuni

Kampuni
ya StarTimes Media ya jijini Dar es salaam leo imeingia mkataba wa
udhamini na TFF kudhamini Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL)
inayoshirikisha timu 24 kutoka katika mikoa 16 ya Tanzania bara. 
















RAUNDI
ya 3 ya Kombe la Ligi, sasa huitwa CAPITAL ONE CUP, itarindima Jumanne
na Jumatano huko England nah ii ndio Raundi ambayo Vigogo wa Ligi Kuu
England huanzia.
Ingawa
baadhi ya Timu za Ligi Kuu England zilianza Raundi ya Pili, wale
Vigogo, wakiwemo Mabingwa Watetezi, huanzia Raundi ya 3.
Pia upo mtanange wa Timu za Ligi Kuu England huko Stadium of Light kati ya Sunderland na Man City.
MABINGWA
wa Bundesliga Bayern Munich na Vinara wa Ligi hiyo Borussia Dortmund
wana Mechi ngumu za Ligi hiyo ya Germany Leo Jumanne na Jumatano Usiku.
Msimu
huu, Wolfsburg, ambao ndio waliobeba German Cup, walishaifunga Bayern
Munich Mwezi Agosti baada ya kuwabwaga kwa Penati kwenye Mechi ya
kufungua pazia Msimu mpya ya kugombea Super Cup. 


Mgombea Ubunge Bukoba Mjini.
Wengine waliparamia miti ili waone mkanda vyema!
kati ni Mh. Mwijage
Mwijage akisalimia Wananchi na kuwapa neno!
Fursa kwa wote!
Burudani ikishika kasi
Diamond Platinumz akitoa Burudani kwenye Mkutano huo








Wasafi!!
Bushoke akiburudisha!
Bukobaaaa Mpooo!!!
Bushoke akiimba
Twendeee!
Viongozi meza kuu
Mr. Blue akifunguka!
Mh Temba na Chegge
Mapanga shaaa!!

