Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema
ana imani na kikosi chake kuendelea kufanya vizuri ingawa kuna mambo kadhaa
hajaridhika sana.
“Katika soka kila unapocheza, linaibuka jambo
jipya. Mkirekebisha na kucheza mechi nyingine, linaibuka jambo ambalo
linahitaji marekebisho tena.
“Huo ndiyo mpira, tulitengeneza nafasi nyingi
dhidi ya Coastal. Tunachotakiwa ni kuzitumia zaidi,” alisema.
“Lakini kuna makosa kadhaa tulifanya, bado
tutayafanyia kazi zaidi.”
Yanga imeanza kutetea kombe lake kwa kuichapa Coastal
Union kwa mabao 2-0.
Mechi inayofuata Yanga itacheza na Prisons amnayo
ilianza ligi hiyo kwa kipigo cha mabao 2-1 ktoka kwa Azam FC.
RSS Feed
Twitter
8:28 AM
Unknown





Mechi hiyo ya Uefa Champions ligi itachezwa kesho jumatano dhidi ya timu ya Meccabi Tel Aviv
Jose Morinho






















Mchezaji Matata wa Man United Martial
Taswira kamili Wachezaji wa Man United wakifanya Mazoezi kabla ya kukutana na PSV Eindhoven
Bastian, Shaw, Carrick, Young, Depay
Juan Mata akiteta jambo na Rojo
Depay na Shaw
Wakipasha wakati wa mazoezi kabla ya kukutana na PSV leo usiku
Fellaini nae ndani
Kipa David De Gea
Bastian
David De Gea aliyeongeza mkataba wa miaka minne na Kabu ya Man United.