LEO
JUMANNE, Februari 24, Uwanja wa Etihad Jijini Manchester utalipuka kwa
mpambano mkali wa Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA
CHAMPIONS LIGI kati ya Manchester City na FC Barcelona. Mechi hii ni Marudio ya Mechi ya Msimu uliopita ya Raundi hii hii ya Mashindano haya wakati Man City ilipotolewa na Barcelona kwa Jumla ya Mabao 4-1 katika Mechi mbili ambazo kila Mechi City ilimaliza Mtu 10 baada ya Mchezaji wao mmoja kupewa Kadi Nyekundu.

LEO JUMANNE, Februari 24, Uwanja wa Etihad Jijini Manchester utalipuka kwa mpambano mkali wa Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI kati ya Manchester City na FC Barcelona.
Mechi hii ni Marudio ya Mechi ya Msimu uliopita ya Raundi hii hii ya Mashindano haya wakati Man City ilipotolewa na Barcelona kwa Jumla ya Mabao 4-1 katika Mechi mbili ambazo kila Mechi City ilimaliza Mtu 10 baada ya Mchezaji wao mmoja kupewa Kadi Nyekundu.
Katika Mechi hizo, Barcelona walishinda Mechi ya Kwanza iliyochezwa Etihad Bao 2-0 na kwenye Marudiano huko Nou Camp, Barca ilishinda Bao 2-1.
Katika
Mechi hizo, Barcelona walishinda Mechi ya Kwanza iliyochezwa Etihad Bao
2-0 na kwenye Marudiano huko Nou Camp, Barca ilishinda Bao 2-1.
RSS Feed
Twitter
2:35 AM
Unknown


Hali
hiyo imemfanya Kepteni Wayne Rooney kupiga Mbiu ya Mgambo kwamba
ushindi Jumamosi hii inayokuja dhidi ya Sunderland Uwanjani Old Trafford
ni kitu cha lazima.
Kepteni
Rooney ametamka: “Tunahitaji kulipa Mechi ijayo. Ni Gemu ambayo ushindi
ni lazima. Tunatakiwa kushinda ili turudi kwenye reli na kuanza mbio
nyingine za ushindi tumalize 4 Bora!”
Luis Van Gaal akitoka Uwanjani baada ya kubamizwa bao 2-1 na Swansea City
Wachezaji wa Swansea City wakishangilia baada ya kuibamiza United hivi karibuni.