Arturo
Vidal aliipatia bao dakika ya 57 kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati
na kuitanguliza bao 1-0 dhidi ya As Monaco. Ricardo Carvalho alioneshwa
kadi ya njano baada ya kumfanyia rafu mbaye eneo la penati Álvaro
Morata.Juventus 11: Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra, Vidal, Pirlo, Marchisio, Pereyra, Tevez, Morata
Akiba: Storari, Barzagli, Padoin, Sturaro, Pepe, Llorente, Matri
Monaco 11: Subasic, Raggi, Carvalho, Abdennour, Kurzawa, Fabinho, Kondogbia, Moutinho, Carrasco, Martial, Dirar
Akiba: Stekelenburg, Elderson, Wallace, Matheus, Silva, Berbatov, Germain
Monaco boss Leonardo Jardim
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Robo Fainali-Mechi za Kwanza
Jumanne Aprili 14
Atlético Madrid vs Real Madrid
Refa: Milorad Mažić (Serbia)
Uwanja: Estadio Vicente Calderón, Madrid, Spain
Juventus vs AS Monaco
Refa: Pavel Královec (Czech Republic)
Uwanja: Juventus Stadium, Turin, Italy
RSS Feed
Twitter
10:00 PM
Unknown
Vuta ni kuvute katika kipindi cha pili...







Picha
za Sterling akivuta Shisha zilizagaa Jana huko England kwenye Vyombo
vya Habari na baadae kuibuka Picha nyingine zikimwonyesha Staa huyo wa
Miaka 20 ambae pia huchezea England akiwa 'amezimika.'
Akiongea
mara baada ya Jana Liverpool kuifunga Newcastle 2-0 na kupanda hadi
Nafasi ya 5 kwenye Ligi Kuu England huku Sterling akifunga Bao la
kwanza, Rodgers amesema: "Ukiwa Mwanamicheza wa kiwango cha juu hupaswi
kufanya hivyo. Nitaongea nae na kumsikia anasemaje." 


