
Jose
Jose Mourinho
MENEJA wa Chelsea Jose Mourinho amekanusha kwamba kuna maasi ya Wachezaji ndani ya Timu yao. Mapema Leo Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas aliibuka na kukana ripoti kuwa yeye ndio ameandaa maasi kwenye Timu.
Chelsea, ambao ni Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu England, hivi sasa wamekumbwa na matokeo mabovu baada ya kufungwa Mechi 6 kati ya 11 za Ligi Msimu huu.
Akiongea hii Leo, Mourinho alisema: “Ni tuhuma za kuhuzunisha, unamtuhuma Mchezaji au Wachezaji, kutokuwa waaminifu.” Nae Nahodha wa Chelsea, John Terry, akihojiwa na kuulizwa ikiwa ni kweli yupo Mchezaji wa Chelsea alietamka kwamba ‘wapo tayari kufungwa kuliko kushinda chini ya Mourinho’, alijibu: “Katika maisha yangu yote ya Soka sijasikia Mchezaji atoke na kusema hivyo. Nakuhakikishia sisi tupo Asilimia 100 nyuma ya Meneja.”
Terry aliongeza: “Tuko pamoja, yeyote alieona Gemu zetu 4 au 5 zilizopita aliona tulikosa sana bahati. Tutageuza mambo. Tutabaki pamoja.”
Chelsea,
ambao Msimu uliopita waliotwaa Ubingwa walipoteza Mechi 3 tu za Ligi
kwa Msimu mzima, wapo Pointi 14 nyuma ya Vinara Manchester City.
RSS Feed
Twitter
10:20 PM
Unknown
Mshambuliaji
wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ Estha Chaburuma
‘Lunyamila’ ataagwa rasmi katika mchezo wa kirafiki kati ya timu ya
Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Twiga Stars’ dhidi ya timu ya taifa ya
wanawake ya Malawi utakaochezwa siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam
Complex Chamazi jijini Dar es salaam. 
Rooney

Jesse 
Bastian akiendesha mpira 
Meneja wa Man United Van Gaal
Mlinda mlango wa Man United De Gea
Martial akichomoka na mpira
Chris Smalling akikacha na mpira
Rooney na Alan
Jesse akiachia shuti kali
Igor na Wayne Rooney
Anthony Martial
Jesse kenye patashika na kipa wa CSKA Moscow



Chupuchupu!

Real Madrid vs PSG 







