
Ivan Rakitic akipongezana na Jordi Alba baada ya kuichapa BATE Borisov kipindi cha pili

Mlinda mlango Sergei Chernik akifanyiwa mbaya na Rakitic
Luis Suarez akifanya yake kwa wachezaji wa BATE
Mchezaji wa BATE Borisov Maksim Volodko akimkaba kwa nyuma Sergi Roberto leo jumanne usiku 
Volodko na Javier Mascherano wakipambana kwenye Champions League
Neymar akichuana na Vitali Gayduchik wa BATE
Rakitic na Nemanja Nikolic

Mchezaji wa Barca Munir El Haddadi akimiliki mpira

Suarez akigombea mpira wa kichwa

Ivan Rakitic dakika ya 64 alipachika tena bao na Barca kuongoza kwa bao 2-0 dhidi ya Bate.
Kipindi cha pili dakika ya 48 Ivan Rakitic aliwapatia bao la kuongoza Barca kwa kufanya 1-0 baada ya kupata ushirikiano safi kutoka kwa Neymar
RSS Feed
Twitter
11:53 PM
Unknown
Baooo!
2-0
Ozil akishangilia bao lake la dakika za majeruhi!
Balaa!
Alama tatu muhimu!
Petr Cech akiokoa langoni mwake
Theo Walcott akijishangaa 






Piga nikupige dakika 90 hakuna aliyeliona lango la mwenzake!


Kocha Mkuu Pellegrini akiwaangalia kiufundi Vijana kazi wake
Pellegrini akitoa darasa
Kompany na Kevi De Bruyne
Kikosi cha City Mazoezini
Mbele ya Kocha wao Pellegrini








Meneja wa Man United Van Gaal
