
Arsenal wasawazisha dakika ya 46 kipindi cha pili na Aaron Ramsey
9:24 PM
Unknown

9:22 PM
Unknown
Mechi
za Raundi ya 3 ya Kombe Kongwe kabisa Duniani, FA CUP, zinaanza Leo kwa
Mechi moja tu kati ya West Ham na Manchester City itakayochezwa huko
London Stadium, Jijini London.
Jumamosi
zipo Mechi 25 na fungua dimba Mchana na huko Old Trafford Jijini
Manchester wakati Mabingwa Watetezi Manchester United wakicheza na Timu
ya Daraja la Championship Reading ambayo Meneja wake ni Jaap Stam
aliewahi kuwa Sentahafu mahiri wa Man United chini ya Meneja Lejendar
Sir Alex Ferguson.
9:21 PM
Unknown
John
Obi Mikel ametangaza kupitia Posti kwenye Mitandao ya Kijamii kuihama
Chelsea kujiunga na Klabu ya China inayocheza Supa Ligi Tianjin TEDA.
Akiwa na Chelsea, Mikel alitwaa Makombe 11 yakiwemo Mawili ya Ubingwa Ligi Kuu England na moja la UEFA CHAMPIONS LIGI.
RSS Feed
Twitter