Robin Van Persie akiifich uso!Dakika ya 83 Robin van Persie Alifunga bao na kuifanikishia bao la pili na matokeo kuwa 3-2.
Bao
za Czech Republic zimefungwa na Pavel Kaderabek dakika ya 24 na Josef
Sural dakika ya 35 bao la tatu likiwa la kujifunga kupitia kwa Robin van
Persie dakika ya 66, Bao la Netherlands limefungwa na Klaas-Jan
Huntelaar dakika ya 70 na kufanya bao kuwa 3-1.
Netherlands 0 v 2 Czech Republic
RSS Feed
Twitter
10:13 PM
Unknown






















Mchezaji
wa Manchester United Memphis Depay amekwaruzana na Mchezaji wa zamani
wa Klabu hiyo Robin van Persie wakati wa mazoezi wa Timu ya Taifa ya
Netherlands. Tukio hilo limethibitishwa na Kocha wa Netherlands Danny
Blind lakini amepuuza umuhimu wake na imefahamika kuwa lilitokea kabla
ya Mechi ya Jumamosi ya EURO 2016 ambayo Netherlands iliifunga
Kazakhstan 2-1.
Kocha
Blind, ambae mwanawe, Daley, ni Mchezaji mwenzake Depay huko Man United
ambae pia yumo Timu ya Taifa ya Netherlands, alieleza: “Yapo matukio
mazoezini ambapo Wachezaji hutofautiana. Mnayazungumza. Na hivyo ndivyo
ilivyokuwa na yamekwisha.”
Pia
Van Persie, ambae aliihama Man United Mwezi Julai kwenda Fenerbahce ya
Uturuki ukiwa ni Mwezi mmoja tu baada ya Depay kuhamia Man United, ndie
Mfungaji Bora wa Holland katika Historia ya Nchi hiyo akiwa na Bao 49.



