
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya kuisambaratisha Schalke 04

Kocha Roberto Di Matheo wa Schalke

Fundi na mbwembwe zake!!

Kikosi kilichoanza cha Chelsea
John Terry alifunga bao la mapema dakika
ya 2 na kuifanya Chelsea kuongeza mabao zaidi kwa timu inayofundishwa
na kocha wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matheo.
Willian alipachika
bao la pili dakika ya 29 na bao la Tatu lilikuwa la kujifunga wao
wenyewe Schalke 04 kupitia kwa Jan Kirchhoff dakika ya 44 ya kipindi cha
kwanza. Didier Drogba alifunga bao la nne kipindi cha pili dakika ya 76
na Ramires alimaliza bao la mwisho ndani ya dakika chache kwenye dakika
ya 78.
Bao!!!
