WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKIWA MAZOEZINI MAREKANI
Wachezaji wa Man United wakiwa mazoezini na hapa wakimsikiliza kwanza Meneja Van Gaal
Kipa David de Gea nae ndani kwenye zoezi
Antonio na Ander Herrera wakinyonga!

Depay
Depay na Bastian
Mazoezini tayari kwa mitanange ya kujiandaa na msimu mpya 205/2016
No.1
Depay na Bastian
Mazoezini tayari kwa mitanange ya kujiandaa na msimu mpya 205/2016
Wayne Rooney na Michael Carrick kwenye zoezi
Bastian Schweinsteiger

RSS Feed
Twitter
8:59 AM
Unknown
Chuba Akpom(kushoto) akishangilia Hat-trick yake leo hii mbele ya Wasingapore.
Mashabiki wa Arsenal
4-0
Bao la pili lilifungwa kwa mkwaju wa penati na Jack Wilshere
Taswira ya Uwanja wa Singapore
Nyomi ya Mashabiki wakiwa wametinga kwA wingi katika Uwanja huo wa Taifa wa Singapore
Jack W. akifanya yake
Taswira kabla kipute
Mike Arteta akifurahia jambo Uwanjani
Gibbs na Ross (kulia) wakiutazama.