Mabingwa
wa Ulaya, Real Madrid, ndio Klabu yenye thamani kubwa Duniani kwa Mwaka
wa Tatu mfululizo kwa mujibu wa utafiti wa Forbes, Magwiji wa Mahesabu
Duniani. Licha ya Thamani ya Real kuporomoka kwa Asilimia 5 na kufikia Dola Bilioni 3.26, Mapato yao ya Dola Milioni 746 yamewaweka Nambari Wani.
Kwenye 20 Bora, Klabu 8 zinatoka Ligi Kuu England wakati Serie A ina Timu 4 ingawa ya juu kabisa ipo Nafasi ya 9.
Forbes wamesema Klabu za Italy zimeathirika Kibiashara Duniani kutokana
na Skandali za Upangaji Matokeo Mechi, Viwanja vibovu na vya kizamani,
Madeni na kuporomoka kwa Vipaji vya Wachezaji wao. TIMU 10 ZENYE THAMANI ($ NI MABILIONI)
1. Real Madrid $3.26
2. Barcelona $3.16
3. Manchester United $3.10
4. Bayern Munich $2.35
5. Manchester City $1.38
6. Chelsea $1.37
7. Arsenal $1.31
8. Liverpool $982
9. Juventus $837
10. AC Milan $775

RSS Feed
Twitter
2:30 AM
Unknown
Dakika ya 77 na dakika ya 80 Messi alitikisa nyavu!
Kimya kimya!!
Messi pia alifanya kutoa pasi safi kwa Neymar aliyejaza bao la tatu na mtanange kumalizika kwa bao 3-0
Hakuna majibu!!
Umechelewa tangu asubuhi!!
Hadi nyavuni mwako!!
Messi akishangilia bao lake la kwanza
Pisha njia!
Neymar akifanya 3-0
Neymar akishangilia bao lake
Barca wakipongezana mbele ya mashabiki wao
Juan akimchomoka Iniesta wa Barca!
Neymar akiwania mpira wa Kichwa
Suarez dhidi ya Kipa Manuel
Suarez!!
Rafinha akipiga tiktaka!
Chupuchupu Suarez achomeke bao!!
Kipa Manuel akiokoa!
Kikosi cha Barcelona kilichoanza
Wamekutana Mameneja timu zote mbili!
Mchezaji wa zamani wa Arsenal na Mchambuzi wa soka kwa sasa Thierry Henry akiingia
Karibu!





















