Usiku
huu EUROPA LIGI watakamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo Fainali na
Timu 4 Washindi zitaingizwa kwenye Droo ya kupanga Mechi za Nusu
Fainali ambayo pia ni huru bila kujali Utaifa. Mechi za Nusu Fainali za EUROPA LIGI zitachezwa Mei 7 na 14 ni Marudiano.
Mazoezini
ROBO FAINALI
Mechi zote kuanza Saa 22:05
Kwenye Mabano Matokeo Mechi ya Kwanza
Alhamisi Aprili 23
Dnipro vs Club Brugge (0-0)
Fiorentina vs Dynamo Kiev (1-1)
Napoli vs VfL Wolfsburg (4-1)
Zenit St Petersburg vs Sevilla (1-2)
RSS Feed
Twitter
9:27 PM
Unknown

Timu
hizo 4 ni Mabingwa Watetezi Real Madrid na wenzao wa Spain, FC
Barcelona, Mabingwa wa Italy, Juventus na Mabingwa wa Germany, Bayern
Munich.
Mechi za Nusu Fainali zitachezwa Mei 5 na 6 na Marudiano ni Mei 12 na 13.
