Nathaniel Clyne yuko mbioni kujiunga na Liverpool baada ya Klabu yake Southampton kuikubali Ofa ya Pauni Milioni 12.5. Clyne, ambae ni Fulbeki wa Kulia, anakuwa Mchezaji wa 6 kusainiwa na Liverpool katika kipindi hiki cha kuelekea Msimu mpya.
Uhamisho huu wa Clyne, mwenye Miaka 24 na ambae ameichezea England mara 5, utakamilika baada ya upimaji wa Afya yake na makubaliano ya maslahi yake binafsi.
Clyne atakuwa Mchezaji wa 4 kujiunga na Liverpool kutoka Southampton kufuatia wale waliojiunga Mwaka Jana ambao ni Adam Lallana, Dejan Lovren na Rickie Lambert.
RSS Feed
Twitter
11:39 PM
Unknown

Kwa
mujibu wa chanzo cha habari hizi, Gazeti linaloheshimika huko France
L'Equipe, kilichobaki sasa ni mazungumzo ya kukubaliana Ada ya Uhamisho
na Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy.
Lloris, mwenye Miaka 28, alijiunga na Tottenham Mwaka 2012 akitokea Lyon ya France kwa Dau la Pauni Milioni 11.4. 
