Mapema
wiki hii millardayo.com iliandika stori ya ajali ya lori la mafuta kuua
zaidi ya watu 90 Nigeria ikiwa ni baada ya kuwa kwenye mwendo mkali na
kugonga watu na magari yaliyokuwa kwenye kituo cha abiria.
Lakini
leo Ghana nayo imeingia kwenye headlines baada ya kituo cha mafuta
kulipuka na kuua watu wanaokadiriwa kuzidi 90 katika mji mkuu wa nchi
hiyo Accra.
Mlipuko
huo umetokea baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko katika maeneo
mengi ya mji huo ambapo pia imewaacha watu wengi bila makazi huku sehemu
kubwa ya mji ikiwa gizani kutokana na kukatika kwa umeme.
Idadi
ya watu waliofariki huenda ikaongezeka kwani watu wengi wamepoteza
maisha baada ya kuwepo kituoni hapo wakijikinga na mafuriko yaliyotokea
na huenda idadi ikaongezeka kutokana na baadhi ya miili kuwa bado
haijapatikana.
RSS Feed
Twitter
8:38 AM
Unknown




Barcelona na Juventus Wikiendi hii mojawapo inaweza kuwa Klabu ya 8 Barani Ulaya kutwaa Trebo.
Hivi
karibuni Barcelona waliifunga Athletic Bilbao kwenye Fainali na kubeba
Copa del Rey na hiyo inafuatia kuubeba Ubingwa wa Spain wa La Liga.
Nao Juve tayari wameshatia kabatini Kombe la Ubingwa wa Italy baada kushinda Ligi ya Serie A na pia kuchukua Coppa Italia.
Wakati Barca ikiwania kutwaa Trebo kwa mara ya pili na kuwa Klabu ya kwanza kufanya hivyo, Juve itakuwa mara yao ya kwanza.
Klabu
iliyoanza kutwaa Trebo kwa mara ya kwanza baada ya Kombe la Klabu
Bingwa Ulaya kubadilishwa mfumo na jina na kuitwa UEFA CHAMPIONS LIGI ni
Manchester United hapo 1999. 

Giorgio
Chiellini kuikosa Fainali ya Jumamosi dhidi ya Barcelona kutokana na
Majeraha, Hivyo kutocheza mchezo huo kumfanya asikutane na mbaya wake
Louis Suarez.


Ninaomba
tusimame kwa muda mfupi tuwaombe ewadau wenzetu na viongozi wa mpira wa
miguu ambao wako katika orodha hii na wametangulia mbele ya haki.
Mbunge wa muleba kusini Prof Anna Kajumulo Tibaijuka
Taswira za picha enzi ya uhai wa Marehemu Mhe. Samuel Luangisa
Merehemu
Samwel Lwangisa alizaliwa mwaka 1932 na mauti yalimkuta New York
Marekani tarehe 25.05.2015 na kuzikwa leo Jumatano juni 3, 2015 Nyumbani
kwake Kitendaguro Bukoba.
Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini 

(katikati) ni Mzee Masabala